Sera ya Faragha

FARAGHA

Taarifa za Faragha unazozitoa wakati unatumia kama vile jina, umri na mawasiliano, zitahifadhiwa kulingana na Sera Yetu ya Faragha. Tafadhali soma Sera Yetu Ya Faragha uelewe jinsi Lugha inavyolinda Taarifa zako za Faragha.

 

MATUMIZI

Tunaweza kushirikisha ufaragha wako kama jina au namba ya mawasiliano kwa watu wengine kwa idhini yako. Kuna wakati tunaweza kushirikisha taarifa zako za faragha kwa watu wengine bila idhni yako kama inavyotakiwa na Sheria au Serikali kwa ajili ya kutekeleza kazi zake, au ikiwa tunaweza kuhamisha umiliki wa biashara, au mkataba kwa mtu mwingine kwa ajili ya kufanya kazi fulani za biashara.

 

MABADILIKO

Tunaweza kurekebisha Sera hii ya Faragha wakati wowote na bila ya taarifa. Tafadhali soma sera yetu mara kwa mara.

 

 USALAMA WA TAARIFA ZAKO

Tunajitahidi kulinda Taarifa zako za Faragha ili kuzuia matumizi mabaya kama vile mawasiliano yasioidhinishwa, au uharibifu