Jifunze Lugha Zetu

Inafurahisha wewe kuongea Lugha yangu, na mimi kuongea lugha yako, Inarahisisha mawasiliano

Anza Sasa

 

 

Kuhusu Lughazetu

Lugha Zetu ni njia rahisi ya kimtandao inayokuwezesha kujifunza na kuongea lugha za Makabila ya Kiafrika, lugha za Kitaifa na lugha za Kimataifa. Kwa kutumia Lugha zetu, unaweza kwenda mahali popote Tanzania, Afrika na Duniani na kuongea lugha yoyote mara moja bila kuhudhuria mafunzo yoyote. Unachotakiwa kufanya, chukua dakika chache, jifunze maneno muhimu ambayo utumiwa na jamii au taifa husika na kisha ongea nao.

Fahari Yetu

Tafiti Kamilifu
593
Lugha Zilizotafsiriwa
163
Wajifunzao
4365

Anza Sasa